Trending Dar Es Salaam Links
 
Trending Dar Es Salaam Videos
"Kuna mkakati mkubwa wa serikali kufukuza wabunge wa upinzani Bungeni kwa muda mrefu"- James Millya (Mb) Simanjiro https://t.co/DfL4j7zAgz
Stunning cross by Pogba for Giroud's goal last night. He is some player https://t.co/lJtQ9OsKRF
Vine by Manchester United - Wow. Just wow from Will Keane. #mufc
Show ya juzi #Miaka5YaNyamaChoma pale leaders #ShowYakibabe kutoka kwa @OfficialShetta Tareh 4 june TANGA msikose👊 https://t.co/9jk0ELIGq2
Vine by NBA - Celebrating with the family! #LeanInTogether #ThisIsWhyWePlay
Vine by NBA - Steph Curry finesses to the rack! #NBAVine
Vine by NBA - Steph Curry & the @warriors celebrate going back to the #NBAFinals!
 
Trending Dar Es Salaam Images
SARUJI YA Dangote Kushuka Bei
• Tshs 10,000 kwa mfuko wa 50Kg Dar-esSalaam https://t.co/HTV1BULJAE
Ridhiwani Kikwete (MB)
"Ifike sehemu adabu itawale Bungeni.Wabunge wamepewa wanachostahili.Kanuni zimetendewa haki." https://t.co/kZFJUz0yzT
Ukikumbuka Bungeni wamewaondoa Lissu Zitto Nassari na kumbakiza yule kilaza aliyesema AskariMonument awekwe Diamond https://t.co/Z4e2eXN88w
Tatizo kubwa la msingi kabisa ktk bunge la 11 ni naibu spika Dr. Tulia, tangu ujio wake bunge limevurugika - Mbowe https://t.co/RZR7gaczUf
"Ni Tanzania pekee ambapo mwanafunzi akipata division four anakwenda Chuo Kikuu na anapewa mkopo"- Rais @MagufuliJP https://t.co/HzOmG17Nzp
Nasoma tweets za @zittokabwe na @swahilitimes kwa mbali mwanawane kuhusu mtiti wa Bungeni. Kama laivuuuuu! https://t.co/O8dsWf4Fmn
Jose Mourinho made his first visit to the Aon Training Complex today… #WelcomeJose https://t.co/D0NmNNJtmV
Happy to have signed a new contract with @ManUtd ✍🏾🙌🏾 https://t.co/Ez3eNm7Bz9
Watanzania tunaoneana wivu, mtu wa ndani akitaka kuwekeza atapigwa vita tofauti na akija mgeni- Rais @MagufuliJP https://t.co/Nx3gDe0P5a
#KutokaNdaniYaBunge

Dkt Hamis Kigwangalla (MB)

 "Wabunge wasiadhibiwe zaidi ya vikao 10". https://t.co/tsHcAmBVf1
Mama Ane Makinda Ateuliwa Na Rais Kuwa Mwenyekiti Wa Bodi Ya NHIF.
Huyu Ni Kijana Mwenzetu.Wazee Walituharibia Taifa https://t.co/s1C4a8fuGL
Wabunge waliosimamishwa kwa muda tofauti (1/2)
1. @zittokabwe 
2. @halimamdee 
3. John Heche
4. Pauline Gekul https://t.co/CfyH4WuYFq
Top trends #Tanzania Tundu Lissu and Godbless Lema wako juu because of Bunge .. 😄😄 kumpiga teke yule mnyama reptile🤐 https://t.co/VQDpAyAW5t
Kombe ashinde Madrid na kuchekwa achekwe Arsenal na sio Atletico, maisha haya...! https://t.co/8AaiYE6DjQ
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo wamegoma wakishinikiza Bodi ya Mikopo iwape fedha za kujikimu. https://t.co/eKWf9ClTMa
"Yametimia" kilichotokea jana bungeni kilijulikana mapema kabisa @makukura @mgaboz @TiAdventurers @_lee4C @JLembeli https://t.co/cXDxSJiKQ2
LHRC yatoa tamko, yataka wabunge waliosimamishwa vikao vya Bunge, waruhusiwe kuendelea na shughuli zao Bungeni. https://t.co/Zvs8H4kleD
Polisi Kigoma wamkamata Teleza Mwanaume anaedaiwa kuwaingilia kimwili kishirikina Wanawake nyumba kwa nyumba usiku https://t.co/75h29eVLBF
Rais Magufuli(akiongea na CTI):
Siwachukii matajiri, wana mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania
#JFLeo #KutokaJF https://t.co/RdBLNDKfTh
TZ tutaburuzwa mpaka tukome... Hatuna Tume huru ya Uchaguzi wala Mahakama huru. 😇😇😇 https://t.co/UDwVFC9iCU
 
Latest Dar Es Salaam Tweets
See Trends for Other Cities:

Dar Es Salaam, Tanzania on Twitter

Popular & breaking twitter trends in Dar Es Salaam, Tanzania.

@Hembeti

RT @TalBaalawy: Maafisa 11 wamuhoji Maalim Seif, wanamshutumu kufanya Uchochezi na Maandamano https://t.co/uyvjADSr80 @MariaSTsehai @zittokabwe @NHBranson

Dar es Salaam, Tanzania
 
@AvitusRuta

RT @TalBaalawy: Maafisa 11 wamuhoji Maalim Seif, wanamshutumu kufanya Uchochezi na Maandamano https://t.co/uyvjADSr80 @MariaSTsehai @zittokabwe @NHBranson

Dar es Salaam, Tanzania
 
@bohnychengula

RT @JoachimAmony: @bohnychengula @zittokabwe hongera mkuu, wish mambo yako yatanyooka nau, na uzushi wa manyumbu utakoma.... Coz walizusha mengi, zaid hakbbka

Dar es salaam
 
@amevance

RT @zittokabwe: Wabunge wa upinzani Bungeni watasusia kikao chochote cha Bunge ambacho kinaongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

Dar es salaam
 
@innocalist

@MwananchiNews @MariaSTsehai @zittokabwe shida ni naibu spika au kanuni!?? https://t.co/laXCQKCT22

Dar es Salaam
 
@mosheh2306

RT @ImaniMwamahonje: @ACTwazalendo @zittokabwe @JamiiForums taifa hili linaendelea kwa kurudi nyuma. Jk was a little bit democratic and was political matured.

Dar es Salaam, Tanzania
 
@mosheh2306

RT @kehrboulerr: What a timing kususpend vichwa muhimu bungeni,the timing has me questioning a lot, what a ploy, shame Tz SHAME!? @ACTwazalendo @zittokabwe

Dar es Salaam, Tanzania
 
@Lenk86Love

@zittokabwe that was totally unfair, the issue was very important, absolutely we need a new Constitute

Dar es Salaam, Tanzania
 
@bd7d45a9a691473

@swahilitimes @zittokabwe Huo no mkakati wa muda mrefu na sasa wamepata madikteta wa kuwezesha mbinu zao chafu kama huyo Tulia, hana lolote!

Dar es Salaam, Tanzania
 
@GodfreyAPella

@MariaSTsehai @zittokabwe @kitilam @kenlazaro Siasa sio Ugomvi, Siasa ni hoja

Dar Es Salaam
 
LHRC yatoa tamko kuwa wabunge 7 waliosimamishwa warudishwe kwani ni kuwakosesha wananchi haki yao ya uwakilishi https://t.co/CYDhi8gQ0C
Wabunge wa upinzani wamesusia vikao vinavyoendelea bungeni kuonyesha kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson https://t.co/mHz0UhKaHc
NEC yaridhia kuiazima NIDA baadhi ya mitambo ya Tehama ili kuharakisha utoaji wa vitambulisho vya Taifa https://t.co/kDEXtDx0Qy
#MillardAyoUPDATES: Wizara ya Mambo ya Nje imeomba kutengewa Shil. 151,396,775,000.00 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 https://t.co/cZRmLGv2UA
#NIPASHE Mbwana Samatta amesema ndoto yake nyingine ya kucheza mashindano ya Ulaya imetimia. https://t.co/7HSBLVuLa9
#255 @diamondplatnumz nimezikataa offer nyingi za makampuni kibao zilizotaka kunipa dili! @perfectcrispin #Kipepeo https://t.co/mpzdBMkeQK
Kitu kingine kizuri #DozenSelection NP #NatafutaKiki @Rayvanny @xxlcloudsFM @BDozen @KenTheRemedy #Kipepeo https://t.co/PTi6b3cwBy
#Update ♦️Hali halisi ktk chuo kikuu Dar Es salaam katika mgomo wa kucheleweshewa pesa zao za kujikimu. #Kipepeo https://t.co/7NP5CDIkOE
Kiungo wa Juventus na France @paulpogba ameamua kutumia nywele zake kutengeneza pesa sasa. #NjeYachaki @BDozen https://t.co/5BBQVMbZMg
????Familia ya burudani washatune @xxlcloudsFM kwenye mashine #DjZiro @BDozen @KenTheRemedy NP Sana @Stereo89Stereo https://t.co/Wb12jVQzUW
"Ni Tanzania pekee ambapo mwanafunzi akipata division four anakwenda Chuo Kikuu na anapewa mkopo"- Rais @MagufuliJP https://t.co/HzOmG17Nzp
Watanzania tunaoneana wivu, mtu wa ndani akitaka kuwekeza atapigwa vita tofauti na akija mgeni- Rais @MagufuliJP https://t.co/Nx3gDe0P5a
"Nimekuja hapa asubuhi ili tuongee tukiwa fresh, japo wengine siku hizi asubuhi hawapo fresh"- Rais @MagufuliJP https://t.co/W6EVhoX72t
"Wamiliki wa viwanda (Cti), muwekeze kwenye viwanda, mkishindwa awamu hii ya tano, hamtaweza tena"- Rais @MagufuliJP https://t.co/aIpQbbykcW
Nataka wenye viwanda watozwe kodi kidogo, ila wanaoingiza bidhaa nchini watozwe kodi kubwa- Rais @MagufuliJP https://t.co/MKhhYeGW92
"Nimekubali kuwa mlezi wa wamiliki viwanda (Cti), ila wale wasiolipa kodi waendelee kuwa na hofu"- Rais @MagufuliJP https://t.co/HsTtFKwvtj
"Mimi siwachukii matajiri, ila nawapenda matajiri wanaowekeza nchini na kulipa kodi"- Rais @MagufuliJP https://t.co/bF38pTSfwH
"Serikali ya awamu ya tano italinda viwanda vya ndani kwa nguvu zake zote"- Rais Dkt @MagufuliJP https://t.co/dfBqNpyYnB
Nataka watu wawekeze katika viwanda. Watoke nje na wa ndani, tena wawekeze free pasipo rushwa- Rais @MagufuliJP https://t.co/HJ3iDG90af
#HABARI Wabunge wa upinzani wametoka nje ya bunge kwa kutokuwa na imani na Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson. https://t.co/CZ3EeeBvHz
 

@manutd

Vine by Manchester United - Wow. Just wow from Will Keane. #mufc
Jose Mourinho made his first visit to the Aon Training Complex today… #WelcomeJose https://t.co/D0NmNNJtmV
 

reus

Marco Reus has been left out of Germanys EURO 2016 squad due to health issues and its his 27th birthday today! ???? https://t.co/OElZeftHxm